Pata taarifa kuu
Nyumba ya Sanaa

Nsamila; Upigaji Picha ni fursa ya ajira kwa Vijana wa Kitanzania

Sauti 20:17
Mtangazaji wa RFI KIswahili Steven Mumbi akifanya Mahojiano na Imani Suleiman Nsamila
Mtangazaji wa RFI KIswahili Steven Mumbi akifanya Mahojiano na Imani Suleiman Nsamila RFI/Steven Mumbi
Na: RFI

Hapo awali Upigaji picha ilikuwa ni jambo la kujifurahisha na kutunza kumbukumbu za matukio ya kifamilia pekee na ilikuwa nadra sana,vijana kuwa na ndoto za kuwa wapiga picha hii leo imekuwa sehemu ya ajira kwa vijana wengi.Kutana na Imani Suleiman Nsamila kijana wa kitanzania aliye jiajiri kupiga picha akizungumza na Steven Mumbi kuhusu safari yake ya upigaji picha.

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.