Nyumba ya Sanaa

Natty OJ ;Muziki wa Reggae umewezesha kuleta amani kwa Vijana nchini Kenya

Sauti 20:07
Natty OJ akiwa katika studio za Rfi kiswahili
Natty OJ akiwa katika studio za Rfi kiswahili Mumbi/Rfi kiswahili

Msanii wa Muziki wa Reggae kutoka Mombasa nchini Kenya Natty OJ anasema Muziki wake umefanikiwa kubadili mitizamo potofu ya vijana kuhusu Siasa,Uchumi na Maisha kwa Ujumla.Ungana na Steven Mumbi akizungumza na Natty OJ Katika Makala haya.