Mwigune;Muziki wa Jukwaani Unalipa,Vijana tujikite
Imechapishwa: Imehaririwa:
Sauti 20:18
Tulizo Bendi inaundwa na vijana wa Kitanzania waliojitoa kufanya Muziki wa majukwaani,na kubadili mtizamo wa kuwa muziki ni uhuni na sasa kuwa sehemu ya maisha kwa kujikimu.Steven Mumbi anazungumza na James Mwigune Kiongozi wa Bendi hiyo inayofanya shughuli za kimuziki nchini Tanzania