SIGE LUCAS;Uchoraji unaakisi Maisha ya Waafrika

Sauti 19:59
Picha iliyochorwa kwa Penseli
Picha iliyochorwa kwa Penseli Mwakajumba/Picha

Sanaa ya Uchoraji picha si tu imekuwa sehemu ya ajira kwa vijana nchini Tanzania bali imekuwa sehemu ya maisha na ndoto ya watoto kuja kuwa wachoraji wakubwa,kwa kufanya kazi wanazozipenda Maishani.Ungana na Steven Mumbi akiongea na Mchoraji na Mwalimu wa sanaa hiyo Sige Lucas katika Mkala ya Nyumba ya Sanaa