Pata taarifa kuu
Nyumba ya Sanaa

Zawose;Muziki wa asili umeniwezesha kuwa Maarufu Afrika Mashariki

Sauti 20:12
Mwanamuziki wa Asili Sinaubi Zawose
Mwanamuziki wa Asili Sinaubi Zawose Zawose/Muziki
Na: RFI
Dakika 21

Sinaubi Zawose ni kijana wa Kitanzania anayefanya Muziki wa asili akitokea katika familia yenye historia ya Muziki wa asili ya Kigogo sasa ameazimia kuufikisha Muziki huo mbali zaidi.Zawose amezungumzia safari yake ya kimuziki katika Makala ya Nyumba ya Sanaa, Ungana na Steven Mumbi katika Makala haya ya Nyumba ya Sanaa.

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.