Nyumba ya Sanaa

Hussein Jumbe awataka Vijana wanaofanya Muziki wa Dansi kufuata Nyayo zao

Sauti 20:02
Hussein Jumbe Mwanamuziki wa Muziki wa Dansi Tanzania
Hussein Jumbe Mwanamuziki wa Muziki wa Dansi Tanzania Mumbi/Muziki

Sanaa ya Muziki wa Dansi nchini Tanzania ilianza kabla ya nchi hiyo Kupata Uhuru 1961 ,Miaka ya 1970, 1980 ndipo waliibuka wanamuziki wengi miongoni mwao ni pamoja na Mbaraka Mwishehe, Marijani Rajabu na Hussein Jumbe nae alichipukia hapo.Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa, Akizungumza na Hussein Jumbe kuhusu safari yake ya Muziki.